Wengi tunashindwa kujua ni kwajinsi gani mtu anaweza kujua namna ya
ku-locate Tv yake sebuleni...Hivyo basi sehemu nzuri ya kuweza kuweka Tv
yako ili iweze kuleta mvuto na kuifanya sebule yako ipendeze
nikuzingatia haya machanche yafuatayo.
Kwanza chunguza upanga vipi viti au sofa za sebule yako kwani kumbuka
inatakiwa kila atakaye kaa kwenye sofa yako angalau apate uwezo wakuona
Tv screen yako kwa urahisi. Pia angalia je ni sehemu gani ya ukuta
iliyo wazi na kubwa na ndipo itakua sehemu nzuri yakuiweka Tv yako,
Zingatia usiweke karibu na location ya dirisha kwani mwanga wa nje
unaweza kuwa sio mzuri wakati mtu akitazama Tv.
Pia jaribu kujua kuwa ukiwa na uamuzi wakuiweka Tv screen yako ukutani
jaribu kuita fundi ili aweze kujua ni location ipi itakua nzuri zaidi
hasa kwa usalama wa Tv yako..na mwisho kwa wale wanaotumia Tv stands
jaribu kuchagua Tv Stand kulingana na ukubwa wa Tv yako ilikuleta
mwonekano wakupendeza zaidi